58Yr Old Father Amputates Son
Mwanaume mmoja wa umri wa miaka 28,anaendelea kupokea matibabu katika hospitali kuu ya kaunty ya Kitui, baada ya kukatwa katwa mikono na miguu na babake mzazi wa umri wa miaka 58,kufuatia mzozo wa kinyumbani. Kisa hicho kilitokea usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Makutano lokesheni ya Katwala .Chief wa eneo hilo Jackson Isika amethibitisha tukio hilo, na kuongeza kuwa babake kijana huyo tayari ametiwa nguvuni na anawasaidia maafuisa wa polisi na uchunguzi.
--------
A 28 year old man is currently receiving treatment at the Kitui district hospital after his father amputated both of his legs and arms in Makutano village. The 58 year old man is currently under police custody.