|
Latest Radio Citizen Headlines |
|
POLICE RECOVER EXPLOSIVES IN DADAAB
Polisi huko Dadaab wamepata vilipuzi kadhaa katika kambi ya Ifo vikiwa vimefichwa katika chumba. Inasemekana kuwa mtoto mmoja alikuwa akicheza na vilipuzi hivyo na ndipo mlipuko ulipotokea. Inaripotiw [ ... ]
|
NEW CIVIL SERVICE MEDICAL COVER
Serikali kupitia shirika la BIMA ya kitaifa NHIF imezindua mfumo mpya wa bima za matibabu kwa wafanyikazi wote wa umma na vikosi vya usalama. Bima hiyo itagharimu shilingi bilioni 4.6 na kufuatia kuzi [ ... ]
|
EAPCC SAGA
Mahakama kuu imetoa agizo la kuwazuia wahusika katika kampuni ya saruji ya East African Portland kutoa taarifa za aina yoyote kwa vyombo vya habari hadi pale kesi inayohusiana na kusimamishwa kazi kwa [ ... ]
|
Lamu Boat Tragedy
Watu tisa wamethibitishwa kufariki huku wengine 13 wakiendelea kupata matibabu ambapo boti mbili ziligongana hapo jana usiku na moja kuzama kisiwani lamu. Shughuli za uokoaji zingali zinaendelea katik [ ... ]
|
|